sheikh yasin
Member
- Aug 6, 2015
- 61
- 45
Wadau nawasalimu
Uhusiano wangu na mchumba wangu zamda umekua mgumu sana kwa kupingwa na wana familia wa pande zote, hii ni kutokana na wao kudai eti zamda ni mkubwa sana kwangu kutokana na umri wa miaka 51 alionao na mm kuwa na miaka 34
Kwa upande wa familia ya mchumba wangu walipinga wakidhan mm nimempendea ndugu yao pesa, na hasa mwanae wa kiume ambae hadi leo anapinga ingawa tumempuuza, nafaham kwamba jamaa na ndugu zangu wananionea gere hasa baada ya kuona maisha yangu yamebadilika, naishi kwenye nyumba nzuri na kubadilisha magari hivyo roho inawauma sasa wanajifanya kusema wananionea huruma kwamba naoa mzee, cha kushangaza wengi huja kwangu kuomba hela kila siku
Sasa tarehe 1/01/2016 ijumaa, mwaka mpya kesho kutwa nafunga ndoa na bi zamda, ili kurasimisha mapenzi yetu, msione nataja miaka 51 mkadhani zamda mzee, mzee kweli, hapana ni umri lakini ana vitu vizito mno, na mzuri ajabu, hata watoto wa under 30 hawawezi kumfikia kwa uzuri, ngozi ni nyororo kama ya mtoto, kikuku mguuni na shanga zisizohesabika wakati wote
Naomba nitoe ushuhuda kuwa, kwa makamo haya ya miaka 34 sijawahi date mwanamke hot na sweet kama huyu, wanawake wa kimanga sio mchezo jamani, wana uzoefu mkubwa mno wa ku handle mume, yale anayoimba mzee yusuph ndio haswaa nayapata na zaidi, napewa vyuma vizito mno
Sasa nahitaji nn zaidi?
Watoto kila mmoja anao, yy ana watatu, mm nna wawili, sasa tatizo lipo wapi?
Wana jf nawaalika kwenye mpunga, tarehe moja, january, 2016, nyumbani kwa bi harusi isamilo na baadae kwangu kiseke jioni yake
Nasaha mje mtoe huko, sio hapa, maana najua na nyinyi mtaanza ya kwenu sasa