Rhapsody's Lounge

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,498
119,441
Msalheri wana Jamii.

Wadada mambo vepee..?

Leo nimebadili kiwanja. Nimeongeza level. Nimekuja hapa Rhapsody's.

Tatizo nimekuja peke yangu. If y'all have noticed I like to roll solo.

Kama kuna mdada yeyote aliye single anayetaka kula good time na Ngabu then holla at me.

Nimeshaanza kuchafua meza na nahitaji msaada wa mchuchu kuchafua zaidi.

IMG-20160701-WA0035.jpg
IMG-20160701-WA0032.jpg
IMG-20160701-WA0033.jpg
IMG-20160701-WA0031.jpg
 
Mkuu ngabu, Nimejikuta natafakari hii signature yako "Miafrika Ndivyo Tulivyo. Talk Shit, Get Hit."
 
Nipo na wachuchu wawili hapa, kama upo serious nije nao nakuachia mmoja huyu.....

Caution:
Wenyeji wa hule mkoa wenye kuku wengi wa kienyeji na mafuta ya alizeti
 
I'm 71yrs young hommie....
Hivi kwanini unapenda kujipunguzia umri wako?

Comrade hivi viwanja safari hii umeviamulia.... Ngoja nicheki na Mtambuzi avuke barabara fasta.... Mi nlikuwa nafuturu hapo High Spirit hivi sasa niko naelekea kwa mpango wa kambo hapo kitaa cha Hisaje. Hiki nadhani ule mkataba wetu hautahusika.... ni.kharam kwako..
 
Teh teh teh..Comrade...hapo kwa age si kwamba nimeongeza?

Halafu Comrade moja kati ya hizi siku itabidi upitie pale Kibo bar [Serena] tuzionje Heineken za pale huku tukiangalia na maua.

Mtambuzi nitampitia nije naye:D.
 
Back
Top Bottom