Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Habari wanaMMU,
Ni takribani mwezi umepita toka niachane na mchepuko wangu ni hii yote imesababishwa na uaminifu wangu na kujali afya kwa kuhakikisha natumia kinga kila ninapokutana nae kimwili.Kiukweli simjui kiundani zaidi ya kukutana nae juu kwa juu miez sita ilopita.
Siku ya kwanza kula tunda, baada ya kumuandaa vyema mwanaume nikachukua Durex yangu wakati nataka kuivaa nikaona binti tabasamu limeisha na kususa, kuuliza nini? Hakuna majibu ya msingi.Basi nikaforce kupiga game mpaka wazungu hao.
Niliendelea kutumia condoms kwa muda wote tulokuwa tukikutana japo kishingo upande ila mara ya mwisho nikaona isiwe tabu nimmwage.
Ilikuwa hivi... Nilimpokea vyema akitoka job, nikazama nae home, mtoto akaoga vyema tayari kwa shughuli.Tukachezeana mpaka kila mmoja alipokuwa tayari. Nikashangaa binti kaniparamia juu anataka kujiweka ila nikamuwahi na kumsukuma. Nikamuuliza kwanini hapendi kinga basi siku hiyo akanipasulia ukweli kuwa yeye matumizi ya condom yanamkosesha utamu na condom inamuumiza.
Nilifikiria sana kauli yake ile, nikawaza wanaume wangapi watakuwa wamekula kavu? Akili ikanikaa vyema nikamtimua usiku huo na vinguo vyake alivyokuwa ameacha acha ghetto nikachoma. Nikajiapiza kuwa michepuko sasa basi.
Issues...
- Kwanini baadhi ya wanawake hawapendi kutumia kinga?
- Kweli condom inapunguza hamu ya tendo?
- Mbona mimi natumia condom na napiga katerero vizuri tu?
- Kuna faida ya kuwa na mchepuko?
Muwe na Jumapili Njema yenye Fanaka.