Hivi humu unawish uwe nanani ila unaogopa kusema . Leo weekend hebu kuwa serious mualike lunch .
Mf. Mie sina labda kama kuna mwanaume mkali gentle men anayemkutia babe wangu na anajua yeye ni...
Kwa wanawake usipende sana maugomvi yasiyokuwa na tija inakata stimu kabisa
Unaweza ukawa na jamaa unaona athumani hashtuki kabisa akikuona ni ile stimu hamna akikumbuka makelele yako.
Hata...
Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa
Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo...
"Mwanamke ni mwanzilishi na mratibu, mwanaume ni mtekelezaji tu"
Nadharia hii inaweza kufafanuliwa utendaji wake katika nyanja mbali mbali.
Leo nitaichambua utekelezaji wake katika nyanja ya...
Dunia hii inaenda wapi?
Leo katika harakati zangu za kujitafuta nikaenda mahali fulani. Mara nikakutana na katoto kadogo kanasoma darasa la sita, kakaniambia " Uncle samahani, dada amesema nikupe...
Wakuu,inaniuma kuliko maumivu yenyewe,mwanamke nimemsotea miezi saba,naongea nae usiku kucha salio likiisha nakopa nalonga nae,saa tisa au saakumi alfajili ni mida yangu ya kulala.
Namnunulia...
Ukija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .
Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako...
Sasa imekuwa kawaida sana kwa wapenzi kuwaungilia wasichana kinyume na maumbile. Hawa wadada wanaona raha na kudhani ni ujanja, lakini hawaitazami kesho yake na madhila yake.
Je, anayekuingilia...
"Habari Dada samahani naomba unipostie najuta sana dada ako katoto nilizaa na mchina aliyekuwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara.
Mradi ulipoisha akahamia sehemu nyingine, baada ya kujifungua...
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.
Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa...
Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na...
Wakuu,
Kula mke wa mtu ni jambo la kawaida kwa ulimwengu wa sasa, na mimi najua hata mke wangu atatolewa ushuhuda hapa kuwa hatasahauliwa kwa kitu/penzi alilolitoa kwa mchepuko wake
Kwa upande...
wakuu habari za siku
#NoReformsNoElection
Kuna mdada mmoja nilikuwa namfukuzia sana lakini ni kama vile alikuwa hanielewi nikaamua kuachana na hilo swala tukiwa tunakutana nampa hi tu kisha...
Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi.
elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially.
Sasa...
MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI KUYAONA.
1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA
Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.