estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Hivi kwa nini wanaume tegemezi kwa jina lingine mario wanapenda sana kulelewa? Halafu sasa kwa kuwa wanajua kabisa hapa ni kupiga kitonga wanakuwaga wajuzi kweli ya ku**mba au lugha nyingine wanajua sana mapenzi kwenye 6x6.
Upande wangu hii tabia siipendi kwa kweli. Yani nianze tu kumpa baby wangu pesa nop raha ya mwanaume akupe, akutunze. Kama wewe mwanamke una hio tabia acha.
Yani kama mlikuwa hamjui, hapo atakutumia weee ukiwa hauna humuoni, atakukimbia kama gari la mwendo kasi.