BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,328
Wanajamvi kwanza natanguliza heshima kwenu.
Kilichonisukuma kuandika hapa ni kwamba kuna binti niliwahi kumtongoza miaka minne iliyopita kwa bahati mbaya alinikatalia. Lakini sasa hivi naona kila dalili ya kunipenda lakini naogopa kumtongoza tena asije akanikataa kwa mara ya pili.
Naombeni ushauri wenu wanajamvi, karibuni sana kwani mawazo yenu ni muhimu