Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo. Ambae atakufanya uwe na furaha Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya...
15 Reactions
68 Replies
5K Views
Hbr wanajamvi Naomba ushauri jinsi ya kuondoa chuki hii nimejikuta nachukia kizazi cha kiume ktk maisha tangu (wanaume) kila nikifikiria nyuma najikuta tuu najawa hasira juu yao Mawazo yenu ni...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Nimekuwa mtu naweza kusema mbaya sana kwakuwa nahisi sina mapenzi kwa mtu yeyote japo wengi wananipenda sijali mtu hata yeyote au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla...
7 Reactions
145 Replies
17K Views
Nipo mbele yenu waungwana katika jukwaa letu. Nina jambo nataka kuomba ushauri kwenu. Nimeoa sasa huu mwaka wapili niko kwenye ndoa. elimu yangu ni ya shahada pamoja na mke wangu pia ana shahada...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Habar za jumapili wakuu nimejikuta natafakar jambo ni kwa nini ikatokea tu watu mmependana alafu yakaja mapicha picha mkabreak up then mkaja kurudiana tena kunakuwa hakuna upendo ule wa mwanzo...
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari wana jamvi Moja kati ya vitu vizuri hapa duniani ni kupewa sifa especially na mtu wa karibu yako sana maana huongeza ujasiri na mapenzi zaidi. Kama upo katika mahusiano basi mtu wako wa...
2 Reactions
0 Replies
731 Views
Nimeshuhudia Rafiki zangu wengi wa kiachwa na wenye pesa.kwa nguvu ya pesa baada ya kuvutwa kwa nguvu ya pesa... Mmoja wa Rafiki yangu alipendwa na Dada mwenye pesa zake .na yule dada alitumia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wahenga walisema usifanye maamuzi ukiwa umefurahi sana, au ukiwa una hasira sana... Mimi naongeza, Usifanye maamuzi ukiwa ndo umefall in Love.. Bado una kimuhemuhe cha kuanza mahaba na mtu, watu...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wana jf Rejea kichwa cha habari hapo juu je ni sahihi kufanya mapenzi na wake zko kitanda kimoja yani unafanya nao woteee? Msaada plz
2 Reactions
88 Replies
14K Views
Kuna kisa nimekipitia wiki hii kimenipa funzo! Kuna demu mmoja,alikuwa anasumbua Halmashauri yangu ya ubongo balaa...Kila siku napiga simu mimi tu, halafu hata majibu yake kama huna moyo wa...
6 Reactions
113 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF. Sitaki kupoteza muda ngoja niweke dhumuni la uzi huuu. Mwaka juzi niliamua kuweka dhamira ya kuengeza mke wa pili wa vile dini inaruhusu nikapata kimwari tukashawishiana...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hili limekuwa tatizo kubwa kwetu sisi wadada kutokuwa na kauli nzuri kwa vijana wanao sema hisia zao. Hata kama humtaki, usijifanye mjeshi mno, kama humtaki wewe mjibu kwa kauli ya adabu tu...
14 Reactions
64 Replies
7K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka above 20 but shida yangu kubwa ni mtu ambaye nina udhaifu fulani pindi nikibahatika kumzoea mdada yoyote uwa ninaanza kumpenda tena na pia nina kuwa na wivu...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Wooooyooooo wanajukwaa la maloveee.......****Hii hivi kweli inaingia akilini kweli!???? Majuzi nilimpata girl mmoja kwenye 18 zangu sasa akanikubalia ligi sasa.....ila...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu mmoja najaribu kumpa mawazo ya hapa na pale ila inakuwa ngumu. Hadithi yake inaenda hivi, alikuwa na mwanamke mzuri sana ila akateleza kidogo na kujifurahisha nafsi na mwingine...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina miaka 28, dini muislamu, kazi yangu ni mwalimu, nahitaji msichana wa kuoa awe na vigezo vifuatavyo awe muislam, awe na elimu kidato cha nne awe mweupe, wa asili siyo wa mkorogo awe hajazaa...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Kiukweli cjawahi fikria kuwa na mpenzi au mchumba maana sijawahi upatia nafasi ubongo wangu kuwa kuna kuoa au kuzaa watoto ila mara nyingi nafikria kutafuta pesa tu si vingine
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Kulingana na mitizamo ya wadada wengi wa humu na kutwa kukosoa wanaume, inadhihirisha kwamba wadada wengi hapa ni wahanga wa kuzalishwa na kuachwa na pia wengi wao mpaka sasa...
25 Reactions
370 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…