Ushauri: Nimezoea msichana yoyote mzuri lazima nimpende

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Habari wakuu,

Mimi ni kijana wa miaka above 20 but shida yangu kubwa ni mtu ambaye nina udhaifu fulani pindi nikibahatika kumzoea mdada yoyote uwa ninaanza kumpenda tena na pia nina kuwa na wivu juu yake hata kama siko nae kwa mahusiano.

Msaada wakuu, hii hali inanikwaza sana.
 
mkuu nafsi inapenda vitu vzuri na kumpenda yule anayeifanyia jambo zuri hiyo nafsi...


kwahiyo kumpenda mtu unayekuwa naye karibu ni kawaida maana usikute kuna mambo mengi unakuta yanakuvutia
 
Back
Top Bottom