tajiri wa mwanza
Senior Member
- Mar 1, 2017
- 138
- 226
Habari ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,
Nimekuwa mtu naweza kusema mbaya sana kwakuwa nahisi sina mapenzi kwa mtu yeyote japo wengi wananipenda sijali mtu hata yeyote au kitu chochote.
Naongea mambo ya ovyo nataka kujali na kupenda watu kusaidia watu pia nataka watu watanisikilize mawazo yangu, ushauri wangu, pia niwe wise man niongee vitu vya msingi nina miaka 23 lakini watu wananichukulia simple tu kama mropokaji, nataka kuwa great thinker.
Msaada, nifanyaje?