mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Habari zenu wana JF.
Sitaki kupoteza muda ngoja niweke dhumuni la uzi huuu.
Mwaka juzi niliamua kuweka dhamira ya kuengeza mke wa pili wa vile dini inaruhusu nikapata kimwari tukashawishiana ikabidi tuanze michakato ya ndoa.
Nikaenda kuposa kwa baba ake akaulizwa umeahakubali kua mke wa pili akajibu ndio baba mtu akanidai funicture ya milioninmoja na laki saba 1.7milion mi nikanunua vitu vyote walivyoniagiza alipokuja kumbiw mama mzazi wa mtoto hakufurahia mwanawe kuolewa mke wa 2 akasema kama sitotimiza mahari ndio njia ya kunichomolea nami kwa kua nilijipanga wakambulia patupu nikataka kuahairi mimi ila watu wakaninasihi na kuniambia sio vzr.
Nikaowa niko kwangu wife kapata ujauzito wakati anasumbuliwa na mimba changa mankwe kaja kamwambia mwanawe umerogwa na mke mwenzio wewe siku ya harusi mwanawe akambishia akamuambia unampenda sana mume wako hata mama ako humuamini mama mkwe katenda visa vingi hadi anamuambia kua mwanawe hatodumu ataachwa tuuu karibuni.
Nikasema poa nikaweka tumaini kwa baba kama mama hanipendi na wife tunaishi vzr juzi nimempigia simu baba ake nikamjulia hali akanimbia yuko hospitali ndungu yake kalazwa kwa vile mi niko mbali nikamuagiza dogo aende akawaone na awape kiasi kidogo cha fedha ameenda alpofika akaamua kumuachilia 10000 akamuambia baba hii itakusaidia kwa nauli basi alipoondoka yule mjumbe akampigia simu mwanawe (my wife) akamuambia " wewe na mume wako wajeuri tena wachoyo mume wako anamuambia mtu anipe 10000 mie itanisaidia nini naomba uje uchukuwe umpe mwenyewe"
Kwa kweli maneno hayo yamemuuma sana mwanawe ameniambia nikambembeleza sana amsamehw baba yake ila bado wife linamchoma na analia kila wakati na ukizingati kua hayupo na mie kwa sasa yuko kwao ameenda kujifungua.
Mke wangu ameniambia siku akisikia nimemgaiya mama ake ama baba yake hata mia basi mi na yeye tutagombana amesema hivi " Nisije kukusikia umempa mama ama baba angu hata shilingi ukimpa mimi na wewe tutatambuana "
Naombeni msaaada Ingekua kama si mtoto ningempa red ila mtoto atasumbuka hawezi kumtuza ( malezi ni ya baba na mama)
Piki mwanzo nilikua nikijitahidi kwa wazazi wake na kuwajali japo walikua wakinichukia ila nami sasa najisikia kuwachukia ?