Sihitaji mpenzi au mchumba

Mbona umetoa tangazo sasa
17076194_1279017808855127_8961633199373418496_n.jpg
 
Kiukweli cjawahi fikria kuwa na mpenzi au mchumba maana sijawahi upatia nafasi ubongo wangu kuwa kuna kuoa au kuzaa watoto ila mara nyingi nafikria kutafuta pesa tu si vingine
Ww unamawazo kuntu kweli, hv hizo hela unatafuta ili ukatumie na nani kama hutakua na familia yako
 
Hata uwe na hela kiasi gani lazima uzame pale ulipotoka paleeeeee
 
Back
Top Bottom