Msaada: Stress zimeisha, Nataka Kumtimua Home Huyu Binti

famicho

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,191
2,852
Habari zenu wadau,

Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na kuamka home kwangu, na anafanya kila kitu kama kupika(hapa yupo vizuri sana), kufua na usafi Wa ndani.

Pia huyu binti yupo vizuri kwa umbo, sura na kitandani ndio zaidi na kampita Wa awali kwa kiasi kikubwa.

Tatzo alilonalo ni wivu, ana wivu sana kitu ambacho sipendi awe anasoma text katika simu yangu, nimejarbu kumwambia ila bado ni mbishi. Pia anakawaida ya kukasirika bila ya kuniambia sababu.

Kutokana na sababu hzo naombeni ushauri Wa jinsi ya kumtoa hapa ndani kwangu, kwa sababu napenda kuwa huru katika mambo yangu.
 
Kabla ya kuwa na mwanamke...hakikisha wewe ni mwanaume kamilifu... (sizungumzii uwezo wa tendo la ndoa)

Na mabinti mpaka lini tuwaambie msijihamishie kwa wanaume? Hadi kini tuwaambie msijivike majukumu mpaka muolewe????

Anyway...Jinsi ya kumtoa ni kumwambia ukweli tu
 
fukuza ingiza mwingine tena usitumie kondom hutapata utamu, akizingua fukuza ingiza mwingine tena na hapo usitumie kondom ikichoshwa na hawo nenda kimboka, kona bar, uwanja wa fisi na huko usitumie kondom aisee

ponda mali kufa kwaja..kula ujana
 
Ushauri wako mzuri. Umestress hilo jambo vizuri.
fukuza ingiza mwingine tena usitumie kondom hutapata utamu, akizingua fukuza ingiza mwingine tena na hapo usitumie kondom ikichoshwa na hawo nenda kimboka, kona bar, uwanja wa fisi na huko usitumie kondom aisee

ponda mali kufa kwaja..kula ujana
 
Ukweli utakuweka huru... mwambie ulikua unamtumia tu kupunguza stress zako!!
Bila kumwambia aondoke akiendelea kukaa kwako ujue hana kwao
 
Hahahahahah you needed her for your pain,but endapo ungempenda hasa ungetafuta njia ya kuondoa kasoro. Back to all desperates women out there,acheni kujitoa kwa wanaume kwa kila kitu respect your body and most of all respect your soul.
 
Tatizo hujakamilika Mavi wewe,
Habari zenu wadau,

Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na kuamka home kwangu, na anafanya kila kitu kama kupika(hapa yupo vizuri sana), kufua na usafi Wa ndani.

Pia huyu binti yupo vizuri kwa umbo, sura na kitandani ndio zaidi na kampita Wa awali kwa kiasi kikubwa.

Tatzo alilonalo ni wivu, ana wivu sana kitu ambacho sipendi awe anasoma text katika simu yangu, nimejarbu kumwambia ila bado ni mbishi. Pia anakawaida ya kukasirika bila ya kuniambia sababu.

Kutokana na sababu hzo naombeni ushauri Wa jinsi ya kumtoa hapa ndani kwangu, kwa sababu napenda kuwa huru katika mambo yangu.
Hilo dogo hivo linakushinda looh, hata mambo ya kijinga nayo unataka ushauri, hela huna ndo mana kelele mingi, mbafu
 
Habari zenu wadau,

Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na kuamka home kwangu, na anafanya kila kitu kama kupika(hapa yupo vizuri sana), kufua na usafi Wa ndani.

Pia huyu binti yupo vizuri kwa umbo, sura na kitandani ndio zaidi na kampita Wa awali kwa kiasi kikubwa.

Tatzo alilonalo ni wivu, ana wivu sana kitu ambacho sipendi awe anasoma text katika simu yangu, nimejarbu kumwambia ila bado ni mbishi. Pia anakawaida ya kukasirika bila ya kuniambia sababu.

Kutokana na sababu hzo naombeni ushauri Wa jinsi ya kumtoa hapa ndani kwangu, kwa sababu napenda kuwa huru katika mambo yangu.
Ulitutaarifu ulipokuwa unamtafuta...!!?? Umemgonga vya kutosha na sasa unataka umtimue...!! Wewe ulidhani unamchukua kwa muda. Muache uone anavyokuendea kwa mganga...!!!
 
Mimi nakuona hapa unatuletea hadithi tu, eti ni mzuri umbo, kitandani, majukum ya kifamilia yuko poa sasa unashindwa nini kukaa naye? Au hizo sifa ulizotwambia ni za uongo?

Pili inaonekana wewe sio mwaminifu. Alikufanyia nini hadi uamue kulipiza kisasi? Anyways wewe ndio unajua nini alichokufanya pale mlipoachana mwanzo.
Hili liwe fundisho wa wanawake wote wenye nyodo mnalinga sana mnapokuwa mnagombaniwa na wanaume na kutangatanga huku na huko, yakikushinda unarudi huku.kwa mwanzo nako unakuta jamaa ndio kama hivi anakutafuna kwanza na anakutupia kule mwisho unakosa soko kabisa.
 
Habari zenu wadau,

Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na kuamka home kwangu, na anafanya kila kitu kama kupika(hapa yupo vizuri sana), kufua na usafi Wa ndani.

Pia huyu binti yupo vizuri kwa umbo, sura na kitandani ndio zaidi na kampita Wa awali kwa kiasi kikubwa.

Tatzo alilonalo ni wivu, ana wivu sana kitu ambacho sipendi awe anasoma text katika simu yangu, nimejarbu kumwambia ila bado ni mbishi. Pia anakawaida ya kukasirika bila ya kuniambia sababu.

Kutokana na sababu hzo naombeni ushauri Wa jinsi ya kumtoa hapa ndani kwangu, kwa sababu napenda kuwa huru katika mambo yangu.
Kamwe usiingie ktk mapenzi ukiwa umeumizwa. Sababu utakuja fanya maamuzi mabaya sana na wakat mwngne unaweza ukaingia ktk ndoa ambayo hujaitarajia. Ukiumizwa jipe muda had upone jeraha. Na huyo bint hujampenda hata kidogo sema maumivu yalikufanya uingie huko na huo wivu kama ungekua umempenda usinge uona sababu upendo huvumilia yote ; hauhesabu mabaya; hauhusudu; haujuvuni upendo unaficha madhaifu yote. Sasa kilicho kukuta lile jeraha limepona nw upo ktk normal akili yako ndio maana unaona madhaifu yote. Chamsingi umuache huyo bint usiendelee kuudanganya moyo wako wala kumdanganya huyo bint. Utendee haki moyo wako na umtendee haki huyo binti. Tena wahi kabla hujampa mimba huyo binti kabla hujajutia maamuzi. Mungu akutangulie
 
Kwan umemwambia aondoke unataka kuwa huru akagoma? Kama la, basi mwambie nae ataondoka kama alivyokuja
 
yaan dunia ina vituko jaman, hivi inaweza tokea live kweli au ni hadithi za kutunga. kama yes binadamu tumekuwa wabaya jamani. kumbuka muosha huoshwa
 
Wala siyo ya kutunga, sina taaluma ya kutunga... ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom