No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Kuna kisa nimekipitia wiki hii kimenipa funzo! Kuna demu mmoja,alikuwa anasumbua Halmashauri yangu ya ubongo balaa...Kila siku napiga simu mimi tu, halafu hata majibu yake kama huna moyo wa plastic unaweza ukahama mtaa aisee.
Juzi nikamwambia kuna zawadi nimeshailipia 150000 mwezi ujao namalizia nikuletee nikampa na sababu lukuki. Amazing! Toka hiyo juzi simu napigiwa mimi tu, hizo sms kwenye hii simu yangu ya Tochi inabidi nifute ili ziingie tena.....
Masikitiko yangu ni kwamba hakuna zawadi yoyote niliyolipia. Ila nawaahidi sitamwacha,kwa jinsi alivyoninyanyasa hakuna namna!!!!Kiboko yao Tai tu...hata kama una buku mfukoni.