umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 672
Habar za jumapili wakuu
nimejikuta natafakar jambo ni kwa nini ikatokea tu watu mmependana alafu yakaja mapicha picha mkabreak up then mkaja kurudiana tena kunakuwa hakuna upendo ule wa mwanzo
nakumbuka sana kipindi cha mwanzo cha mahusiano yangu yaliyopita zilikuwa ni nyakati za kutamanika sana yani unaona dunia ilivyo nzuri hata usipokula unajisikia kushiba.lakn sasa
wacha mambo yabadilike hahaha unajiuliza hvi huyu mtu ndiyo yule kweli ambaye ilikuwa tusipoagana usiku hapati usingizi, ambaye nisipopokea simu yake analialia kama mtoto mdgo, ambaye nikimuigno anataman ardhi ipasuke
Naendelea kujifunza mengi nikiwa katka umri huu mdogo nakomaa sasa i hope one day ntakuwa mke mwema sana kwa mapito haya.
have a nice sunday!