Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,520
Nimeshuhudia Rafiki zangu wengi wa kiachwa na wenye pesa.kwa nguvu ya pesa baada ya kuvutwa kwa nguvu ya pesa...
Mmoja wa Rafiki yangu alipendwa na Dada mwenye pesa zake .na yule dada alitumia nguvu ya pesa kumnasa Rafiki yangu na kweli akanasika.
Wakawa wote maisha ya kiendelea ...ila kilichotokea akamchoka mshkaji na kupata jamaa mwingine ...
Ili kumfanya Rafiki yangu asimsumbuwe baada ya kumpata jamaa mpya ikabidi atumie nguvu ya pesa tena kumwondoa mshkaji...
Hawa watu huwa hawanaga mapenzi ya kwenye Nafsi zao, zaidi ya matamanio ,na anapokuchoka basi huwa anatafuta mwingine