Nyangeta Mussa
Senior Member
- Dec 8, 2014
- 199
- 127
Hbr wanajamvi
Naomba ushauri jinsi ya kuondoa chuki hii nimejikuta nachukia kizazi cha kiume ktk maisha tangu (wanaume) kila nikifikiria nyuma najikuta tuu najawa hasira juu yao
Mawazo yenu ni tiba ....