Umewahi kumsifia mwenza wako?

Bob12

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
11,422
58,787
Habari wana jamvi

Moja kati ya vitu vizuri hapa duniani ni kupewa sifa especially na mtu wa karibu yako sana maana huongeza ujasiri na mapenzi zaidi.

Kama upo katika mahusiano basi mtu wako wa karibu zaidi atakua ni huyo mpenzi wako sababu ni karibu mnachangia kila kitu katika maisha yenu na haina budi kumsifia kwa kile ambacho anakifanya kwako na wakati mwingine unaweza ukamsifia kwa uvumilivu wake, ukarimu, upendo anaokuonyesha, uzuri wake, ufanyaji kazi wake nk.

Je unayo tabia ya kumsifu mpenzi wako?

NB: Sio kumsifia kinafki lakini
 
Back
Top Bottom