christnetwork
Member
- Sep 1, 2015
- 39
- 66
Hili limekuwa tatizo kubwa kwetu sisi wadada kutokuwa na kauli nzuri kwa vijana wanao sema hisia zao. Hata kama humtaki, usijifanye mjeshi mno, kama humtaki wewe mjibu kwa kauli ya adabu tu.
Achana na kauli ile ya kusema wewe siyo sahihi kwangu, mara mwanaume maskini mimi utanipeleka wapi na mengine kama hayo. Moyo ubadilika, uliye mtolea nje Leo kwa kauli yako huyo ndo siku ya mwisho anakuwa mumeo.
Usipende kwa vigezo maana utatumbukia usiko kujua ni vigumu sana kwa mwanamke ku reseat ndoa.