KUMPENDA MTU ASIYEKUPENDA.
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajihangaishi kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado...
Hi! Guyz!!!! Sio siri ninawapenda sana wanawake yaani
Natamani wanawake wote waliopo dunia hii wawe wangu , niwamiliki Mimi"
Niwabusu
Niwatoe out
Niwe nao karbu yaani
Wanipigie simu niongee...
ninamsichana m1 nampenda na anaonyesha kunipenda lakni nligundua ana mchepuko(mwanaume) ambae alikuwa nae kabla sijawa nae(yan ex) kimahusiano lakni baada ya kugundua wakaachana ili abaki na mimi...
Wangapi wanaendaga Mziki, Disco na Waume Zao au Boyfriends au Michepuko yao?
kila mwezi naendaga mziki na ma shosti, shouger, dadaz grup la watu 4, kama sio Hyatt Regency basi Elements au High...
Haya nimerudi tena naombeni mawazo yenu,
Hapo zamani za kale, nilipataga bwana, alikuwa mtu mzima, alinipita miaka 13. Katika mahaba kolea na maongezi ya Honey Moon (Stage ya mwanzo ya mahusiano)...
Habari Wapendwa
Mimi na familia yangu tunahamia mkoa mwingine..Nilipoenda kutoa taarifa za hizi pilika pilika za kuhama kwa wakwe, Mama mkwe akaniuliza juu ya vitu vyangu vya ndani..Nikamwambia...
Kwanza poleni na majukumu,
Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri...
Nianze kwa kusema hivi tu mapenzi bwana!
Ndugu zangu wa MMU nawashauri msije mkaingilia kwenye migogoro ya wapendao, eti kujifanya unasuluhisha mambo, au kuwapatanisha usijaribu hata kidogo...
Heading ni kiitikio cha mwimbo bora kabisa kwa upande wangu, wimbo ni wa sauti sol (majirani zetu) kenya... Video hii naomba iwe hata fundisho kwa wakina dada wenye tabia za kuchoropoa mimba na...
Kama tittle ya thread inavyosoma hapo Juu. Natafuta mdada mwenye kujielewa wa kujenga nae maisha. Please kwa mdada yeyote mwenye kukidhi vigezo ani pm tuyaanzishe mahusiano.
Wasifu wangu...
Katika hali ya kawaida kimaumbile mwanamke ameumbwa na urembo wa asili, ukikuta mwanamke ambaye hajatumia aina yeyote urembo wa mchina anapendeza, anavutia na hata harufu yake ni ya asili...
habari za muda huu wakuu
mimi nikijana na umri wa miaka 20 natafuta mpenzi awe na umri wa miaka 18 hadi 20 elimu darasa la saba au kidato cha nne kama yupo anicheki pm.
Kuna shogangu bwana kaibiwa mume na side chic m1, siku alipomkamata mwizi akaja kuniletea kesi ya mamba kwangu, cha ajabu ni kwamba hakuliaaaaaa! kudadeki watu wanasema mume anauma ila huyu shoga...
Unajua Darassa hakukosea alipoimba vitu vingine havihitaji ujuaji, unaweza tandikia watu jamvi!
Basi jana nimetoka zangu nipo HIGH SPIRIT nakula zangu good time buzy na JF, FB, Insta na Snapchat...
SIMULIZI YA KWELI
YA KUSISIMUA NA KUSIKITISHA
YA MTOTO JANETH..!!
Kengele ya kutoka darasani iligongwa,
wanafunzi wa shule ya msingi wakaanza kutoka
madarasani huku wakifukuzana wengine...
CHEZA BILA KUKUNJA GOTI ! (UKIVUA NAMINTAVUA)
TULIKUWA tunalicheza gwaride katika uwanja wa fundi seremala nilikuwa miye na mwanamke ambaye kwa sasa natakiwa kuvuta kumbukumbu upya ili...