Habari za mida ndugu zangu wakubwa shikamooni. Kijana nakuja kwenu nahitaji msaada wenu wa kimawazo.
Kuna mama mmoja tumejuana kupitia mambo ya kanisa ambaye niliunganishwa naye kutoka kwa rafiki...
Making Love sio adhabu...Sio assignment inayoenda kusahihishwa...Usiwe so serious ukiwa unafanya Mapenzi utadhani umewekewa target na
bosi basi unakimbia kimbia bila kujua uelekeo unaoenda ni sawa...
Wadada wa Tanzania,huyu mchumi anaejiita Milton Friedman aliwah kuja na principle inayotuambia kuwa hapa duniani hakuna kitu cha bure kwamba kila kitu unachokitumia lazima ukilipie.asa nyie...
Habarini wakuu
Kuna Jambo Moja nimeona nishee nanyi wana Jamvi ,mimi nna mchepuko wangu tulianza mwaka jana baada ya muda tukaachana lakini wakati mahusiano yameanza akasema tusisex mapema coz...
Wakuu,
Naandika mimi moniccca mwenamke jasiri, mwelevu, anaejiamini zaidi na miongoni mwa wanawake wachache greatthinkers wa JamiiForums.
Namshukuru Mungu kuniumba wa kuvutia na kupendeza...
Karibia kila mtu nayekutana nae hata kwa jinsi nilivyo kabla sijamuongelesha huwa ananiona ni mkarimu na mpolr toka utotoni na ukweli ndio huo mimi ni kijana mpole(Sio mkimya), Mcha mungu (Mkristo...
Linanishangaza sana hili wadau nisaidieni mawazo yenu hatukugombana lakin siku ya tano sasa mke wangu hapokei sim yangu.minipo mkoa kikazi.any comment please i respect you
Utafiti unaonyesha Vijana wengi wa Kiume wanaotoboa hadi kufika vyuo vikuu, wanakua hawajawahi ku -sex ama kua na mahusiano ya kimapenzi na wanawake maishani, ukilinganisha na lundo la wasichana...
Wakuu
Rejea mada tajwa hapo juu.....naomba tushirikishane njia sahihi ya kumpa mtu kibuti(kukatisha mahusiano),
Binafsi naona njia sahihi ni kuongea nae mubashara juu ya jambo ulioamua juu...
NIPE DAKIKA MOJA YAKO TU!!
Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana alipokutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift, ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea huruma na...
Habari wanandugu, naomba kushiriki nanyi kidogo baada ya kupitia tafiti kadhaa. Kumekuwa na mtazamo tofauti juu ya vitu vingi ambavyo wanaume/wanawake wanadhani kuwa wakiwa navyo watavuta makini...
Wakuuuu!
Hebu check hiki kisa cha kweli kabisa, alafu utaniambia imeka vp
Rafiki yangu mmoja alifanikiwa kuoa akiwa bado kijana kabisa, miaka 22-25 hivi
Na kwenye maisha yake ya ndoa kwa kweli...
Awe msichana wa miaka 18-24, awe msomi walau kuanzia kidato cha sita, mcha Mungu na mwembamba,maji ya kunde au mweupe, na Mwenye mapenzi ya kweli na Mwenye mtazamo chanya wa maendeleo. Mi ni...
A.Kuanza kumpenda mwanamke alafu baadae mkapendana au
B.Kuanza kupendwa na mwanamke alafu baadae mkapendana?
Je, hapohapo ni yap mahusiano yanadum?
just a challenge only.
Boy:Sweet heart waweza kuja pande za home!!!
Sweet heart: sina nauli
Huu wimbo wa sina nauli naona umetawala kwenye vichwa vya wasichana wengi 70% na akikwambia umtumie anakuwa na uhuru wa...
Wakuu,
Mke wangu ameniambia nisiwe namgusa hata kumbeba mtoto wetu Mara baada ya kutoka kazini eti mpaka nioge, nimeshangazwa sana hili mi naona anataka kujifunza tabia ya ushirikina hili amerudi...
Maisha yamekuwa magumu sana siku hizi. Wanume suruali nao hawaoni haja ya kuoa kwa kuepuka majukumu yaliyo juu ya uwezo wao. Lakini kadri silu zinavyokwenda wadada wamekuwa warevu na wabunifu...