Upole na ukarimu wangu unanipa shida

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Karibia kila mtu nayekutana nae hata kwa jinsi nilivyo kabla sijamuongelesha huwa ananiona ni mkarimu na mpolr toka utotoni na ukweli ndio huo mimi ni kijana mpole(Sio mkimya), Mcha mungu (Mkristo msabato) na mkarimu.

Huu uzi naundika maana hii hali kipindi hiki inanitesa sana hasa kwa hawa dada zetu ambao wanazidisha mazoea, na kwa upole nilionao kila kukicha hunifanyia vituko visivyoisha, Kwa huu upole wangu wengi wamekuwa wakidhani nipo single kumbe kiukweli nina mpenzi ila tu sijaweka wazi to the extent, Matatizo nayoyapata ni hasa chumbani kwangu pindi nikitoka kazini hawa mabinti wakishajua nimefika wanakuja kwa gia ya kuchaji simu, Hapo tukisalimiana moja akitoka akirudi basi ujue karudi na mwenzake au wenzake waje kupigia story na kwangu,Kuna hawa mapacha yani nikiwaona natamani kuwakwepa mana ni kama wanalazimisha mazoea yani kuna siku nmempigia simu mpenzi wangu aje kwangu wenyewe bado wapo room kwangu na vikanga vyao sijui mpenzi wangu angefika kama angenielewa hapo,,Kwa upole wangu huu hata nikiwafukuza yani nakua nampigia mbuzi gitaa.

Yani wakinizoea kidogo basi ni tatizo maana mazoea yanazidi ,Nilihamaga nyumba kwa upuuzi huu huu ila na hapa nilipohamia mchezo ni huo huo kuja kupigia story kwangu utadhani hakuna vyyumba vingine, Huwa haziishii story yani hata saa nyingine wametoka natumia nafasi hio kwenda kuoga ile narudi hao hapo, Kuna kipindi nimelala usiku nimesaha kufunga mlango nakuta binti wa mama hapa kaingia chumbani na kanga yake eti tulale...What the f**k aisee yani nlitamani nimtukane but kiukarimu kabisa nilitumia busara zangu zote kumtoa kidiplomasia.Kesho yake alikuja hivyi hivyo hapa nikiri tu uzalendo ulinishinda ikabidi nikune upele uliopata mkunaji, Hii kitu nadhani huyu binti aliwaambia wenzie ndio mana hata wakija humu ndani siku hizi sio kwa kanga zile.. Hapa nilipo nina dem hakai hapa ila kwa hii hali sina uhakika kama hawa mabinti wataendelea kuniona mpole

Naombeni Ushauri wa nini cha kufanya ...Siwezagi kua mkali na kila mtu namweahimu
 
yaani kwao hakuna pa kuchajia simu waje waweke kwako?? kweli wamekuona wewe kama wao tuu ndo maana wanafanya hivyo....

ningekuwa mimi nishagegeda hao mapacha siku nyingiii :D:D:D:D
 
Labda wanahisi ni mwenzao katika imani na wanaamini huwezi fanya jambo baya kwao
 
Anza kwa kuwapiga vibao vya matako, baadae shika kalio.. Chuchu.. Gegeda, ukiendelea kuwaangalia watakuita anti machozi Mara simba mtamu mwisho aibuuuu
 
Hahahahah.. Ila we jamaa unayajua machozi ya simba na huo upole unaousema!?
 
Upele umuota asie na kucha....
Lakini pia usiache mbachao kwa msaala upitao...

Akili kichwani...
 
Pole sn.
Ila nimependa hapo ulipommaliza mmoja. Ningeshaur uwaambie wasiwe wanakuja wawili wawili. Wapeane nafasi ili uwakune mmoja mmoja kwa nafasi yke. Ukishawamaliza, HAMA na wasijue umehamia wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom