Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Boy:Sweet heart waweza kuja pande za home!!!
Sweet heart: sina nauli
Huu wimbo wa sina nauli naona umetawala kwenye vichwa vya wasichana wengi 70% na akikwambia umtumie anakuwa na uhuru wa kuchagua aje au asije yawezekana ukawa umemtumia ela ya vocha kabisa...
Plz wasichana na wanawake mtuhurumie nauli tuwatumie, chakula tugharamie, na ukishafika tu kabla ya sex matatizo yanaanza kutiririka mara nywele, mara kodi mara mchango wa harusi ya rafiki mara simbu mbovu shenzi kabisa... Kwani mi ndo nimekuleta duniani..
Unakuja tunapata raha wote then unataka nikubebe mizigo... Kale ka wimbo ka mwana FA kazuri sana hata mm nazipenda zanguu...
Acheni kupenda rahisi nyie wadada.. Mkiendelea hivyo ndo mambo yale ya kuviziana.. Nitakuja kukufuata sikupi nauli na nakugonga mara moja nasepa hela upati kabisaa...
Fanyeni kazi hata kuuza mboga basi, mm wajibu wangu ni kusaidia sio kubeba kabisa matatizo yako.. Ambayo ni kazi ya wazazi wako.
Mtuoneee hurumaaaa aaaaaaggghhh... Ngoja niishie hapa kwa leo.