Mke wangu hapokei sim yangu siku ya tano

kidome

Member
Jan 5, 2014
80
40
Linanishangaza sana hili wadau nisaidieni mawazo yenu hatukugombana lakin siku ya tano sasa mke wangu hapokei sim yangu.minipo mkoa kikazi.any comment please i respect you
 
Tafuta hata mtu wa karibu na huyo mkeo, mueleze afike nyumban kwako ajue nn kinaendelea,
 
....huwa napata taabu Sana nikiona mwanaume mwenzangu-tena mtu mzima aliyeoa kabisa unaposhindwa kutatua katatizo kadogo Kama haka ka-kifamilia.
....vijana wa siku hizi huwa tunawasikitisha Sana wazee wetu.
 
Linanishangaza sana hili wadau nisaidieni mawazo yenu hatukugombana lakin siku ya tano sasa mke wangu hapokei sim yangu.minipo mkoa kikazi.any comment please i respect you
Mkuu...mke wako kakusoma akili na tabia zako kuwa ni za kitoto ndio maana kathubutu kukukaushia kupokea simu.

......Mimi nikiwa mbali naye huwa yeye ndio anahaha kupiga simu.....jifunze kuishi kiume utaona Kama hayo yatakutokea.
 
hapo hata kama akili ikilala lazima izinduke,
-kama una mchakato wa pembeni ujue kakubamba na anahasira hataki kusema nawe.
 
Jiandae kisaikolojia maana unaweza kukuta kishasafisha nyumba na hajulikani aliko.. Au unaweza kukuta manyoya tu wajanja washamchukua.
 
Pigia ndugu au majirani wakamcheki.
Mnawasiliana kupitia sms, kupigiana simu direct na nini? Yupo hewani?

Ikishindikana basi sema kama ni mtumiaji wa social networks etc upate maujuzi zaidi kujua mengine.

Pole ndugu
 
una uhakika simu anayo yeye?,pengine kaibiwa simu na mwizi anaendelea kutumia line ileile..hiyo inawezekana kabisa,..ondoa mawazo hasi mkuu.
 
una uhakika simu anayo yeye?,pengine kaibiwa simu na mwizi anaendelea kutumia line ileile..hiyo inawezekana kabisa,..ondoa mawazo hasi mkuu.
Kaibiwa siku 5...kaashindwa hata kuazima simu atoe taarifa kwa mume wake..
 
Back
Top Bottom