moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Wakuu,
Naandika mimi moniccca mwenamke jasiri, mwelevu, anaejiamini zaidi na miongoni mwa wanawake wachache greatthinkers wa JamiiForums.
Namshukuru Mungu kuniumba wa kuvutia na kupendeza. Wakuu najiona mzuri, mwenye akili, mpenda watu na anayejiamini.
Siogopi kitu na wala hakuna wa kunibabaisha. Wanaume wanababaika wakiniona, natongozwa nitokapo getini mpaka ninaporudi ndani.
Uzuri wangu ni fahari yangu, kila mwanaume anajiuliza atanipa lini loh! Moniccca mimi nashangaza.
Hivi ndivyo nijionavyo. Mimi ni mwanamke wa nguvu.