Klaas
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 216
- 175
Habari wanandugu, naomba kushiriki nanyi kidogo baada ya kupitia tafiti kadhaa. Kumekuwa na mtazamo tofauti juu ya vitu vingi ambavyo wanaume/wanawake wanadhani kuwa wakiwa navyo watavuta makini ya upande mmoja aidha KE/ME. Sasa tuangalie mpangilio wa kipi kinaanza na kipi cha mwisho katika muonekano.
WANAWAKE WANAANGALIA VIFUATAVYO KWA MWANAUME, KWA MPANGALIO HUU;
1.Haiba- huu ni muonekano wa kawaida/sio wakaida ambao unaweza ukafanya kumvutia mtu(personality)
2.Uchangamfu-vile mtu anavyokuwa anafanya katika mazungumzo ilikumfanya mweza awe na furaha kama, ucheshi, kejeli, stori za kuchekesha n.k(Humour)
3.Kujali- KE hupenda mtu anyejali na kumtia moyo pale anapokuwa na tatizo/hisia tofauti. Kiufupi mtu nayeguswa na tatizo la mwenzake(Sensitivity)
4.Uwezo wa akili-KE haangalii akili za darasani tu, hapa ni uwezo wa mtu avyofikiri na kutatua changamoto mbalimbali/mipango endelevu nk bila kujali kaenda vidato au la!(Brains)
5.Umbo zuri- namna ME alivyo kimaumbile (Good body
MWANAUME ANAVYODHANI MWANAMKE ANAVIANGALIA KUTOKA KWAKE
1.Haiba-kama ilivyoelezwa
2.Umbo zuri- hapa sasa ndio wengi hukesha kufanya mazoezi ilikujenga mwili au kupunguza mwili(Good Body)
3.Uchangamfu-kama ilivyoelezwa
4.Kujali- kama awali
5. Muonekano mzuri- hapa napo kazi ipo, ME wengi huangaika sana ili wawe na muonekano mzuri, hapa kama staili za kukata nywele, perfume,mavaz,nk(Good look)
VITU AMBAVYO MWANAUME ANAVINGALIA KWA MWANAMKE:
1.Haiba-kama ilivyoelezwa
2.Muonekano mzuri-kma ilivyoelezwa (Good looks)
3.Uwezo wa akili
4.Uchangamfu
5.Umbo zuri-hapa Me hutofautiana wengine hupenda wembamba warefu/ wafupi wanne nk(Good body)
WANAWAKE WANAVYODHANI WANAUME WANAVIANGALIA KUTOKA KWAO;
Hapa kazi ipo
1.Muonekano mzuri(good looks)
2.Umbo zuri(good body)
3.Maziwa/kifua-hapa wengi huangaika sana kutengezea matiti hata kwa gharama ilimradi yajaejae ya tune kinamna hata akivaa sindilia nae aonekane yupo(Breast)
4.Makalio- uwiii napo hapo ni kasheshe, KE hudhani akiwa na makailio ya kinamna basi atawavutia wengi ME, hivyo hufanya bidii ili akae sawa, mwanamke aliyepigwa pasi hudhani amepungukiwa kitu(Bum)
5.Haiba
Hayo ndiyo yangu kwa leo vitu mwanaume anavyoangalia kwa mwanamke na namna mwanamke anavyodhani mwanaume anavyoviangalia kwake na kinyume chake