Kipi bora kati ya haya?

Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
4,437
4,146
A.Kuanza kumpenda mwanamke alafu baadae mkapendana au
B.Kuanza kupendwa na mwanamke alafu baadae mkapendana?
Je, hapohapo ni yap mahusiano yanadum?
just a challenge only.
 
Bora mwanaume aanze kupenda...wanawake hawana shida ku adapt. Man akipata dem kirahisi anamchukulia poa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom