tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,879
- 15,460
Wadada wa Tanzania,huyu mchumi anaejiita Milton Friedman aliwah kuja na principle inayotuambia kuwa hapa duniani hakuna kitu cha bure kwamba kila kitu unachokitumia lazima ukilipie.asa nyie wanawake wa Tanzania mna katabia ka Kula pesa za wanaume afu mnaingia mitini bila kulipia.uchumi hauko hivo, lazima kuwe na hali ya nipe nikupe.ukipewa pesa na mwanaume nawe achia mzigo kisela ili kubalance uchumi.
Asanteni.
Asanteni.