Me & Ke:Tushirikishane njia sahihi ya kupeana vibuti(kukatisha mahusiano),

teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
307
204
Wakuu

Rejea mada tajwa hapo juu.....naomba tushirikishane njia sahihi ya kumpa mtu kibuti(kukatisha mahusiano),

Binafsi naona njia sahihi ni kuongea nae mubashara juu ya jambo ulioamua juu yake.

Nawasilisha.
 
Njia rahisi ni kusitisha kwanza huduma za msingi kama kugegedana na kuhonga...

Halafu ya pili ni kumpotezea mazima.
 
Silence is a good answer...You just shit without saying anything, just cut all communications lines. Then everyone will live happily ever after and it will be the end..
 
Kwa kweli mimi huwa najihisi sijawahi achana na binti yeyote tangu wote niliowahi kuwa nao katika mahusiano tena jambo zuri ni kwamba huwa sikai eneo moja muda mrefu, wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao huwa nawakatia mawasiliano hata mwaka mzima kisha huwa nawapigia mara moja moja basi nikiwapigia wanahisi bado nina mahusiano nao na nikiwahitaji tu fasta.

Kwa hiyo sijawahi achwa na sijawahi acha ila huwa nawapa likizo hata za miaka 2.
 
Back
Top Bottom