Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna jamaa mmoja alikua na mchepuko guest, mara mke wake akapiga simu na kuipokea mbele ya mchepuko wake na akauambia ukae kimya wakati anaongea na mkewe. Sasa hapa najiuliza mwanamke au...
3 Reactions
86 Replies
8K Views
Wanawake ni jeshi kubwa. Hii mada itakuwa msaada mkubwa sana kwa wale wanaojiandaa kuingia katika ndoa, itasaidia kuwaanda kisaikolojia kupambana na maudhi ya mume maana kwa kweli ni mengi...
17 Reactions
325 Replies
34K Views
Amini usiamini wanaume wengi ni waahanga wa ukatili wa kijinsia toka kwa wake zao naaapa, wanawake wengi mnaonea waume zenu. Tunatoa rai wanaume mjitokeze muende dawati la jinsia na watoto ili...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimewiwa kuwashirikisha ninachokiona mwaka huu. Kwa kweli uzazi ni wa kutosha. Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra kukutana na mama mjamzito barabarani. Kwa kweli mwaka huu ni baraka tele. Kila kona...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania nawaomba tuhamie halotel maana Tigo wanaleta mambo ya ajabu cheki vitu
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Salam wanajamvi, Utamu ni utamu tuu, hata uende wapi utabaki kuwa utamu tuu... Ukweli ni kwamba mapenzi ni chanzo cha furaha duniani, na mapenzi maridhawa huondoa msongo wa mawazo na huchangia...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Dunia ni mzunguko, ipo siku itakugusa tu...Sasa imefikia mrembo huyu alokuwa anajiam,ini wakati wake.. Ulipo kuwa chuo ulikuwa unatembea na mume wa mtu, Leo umeolewa hutaki mumeo achape wasichana...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kweli kuna familia nyingi zimehukumiwa wasiingie kwenye ndoa, hata wakiingia ndoa zao hazidumu wala kuwa na furaha na amani na hukumu hii siyo kwamba wamehukumiwa na Mungu lahasha wamehukumiwa...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Hello, hope mko poa wana JF, Am looking for girl friend who is residing here in Dar. Age should be btn 25 and 30 inclusive, Christian na awe angalau mrembo wa kawaida na awe mrefu. Personally...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
hello
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Turudi kwenye mambo ya ndoa sasa, unakuta mume akipost kitu fb, mke ana-like au kucomment kiroho safi tu. Au wakati mwingine vice versa is true. Kweli umeoa /umeoa na unamwona mwenzio Facebook na...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Salam nyote. Kwa kuwa sisi sote n wadhambi na kama kuna laana fulani ya kutembea na mke /mme wa mtu, soma hapa vzr ili kukwepa fumanizi ndugu yangu. Note: Mke wa mtu n sumu, mme wa mtu ni...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nadhani sasa itanibidi tu ama nimfunge Kizazi au nitafute tu Mwanamke Tasa ili niondokane na hizi adha au kero ninazozipata kila mara Mpenzi wangu akiwa na Mimba yangu kwani kwa aina ya maudhi...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Waungwana salaaaam, Last week nilienda hospitali kufanya kipimo cha Sperm analysis kujua kama mbegu zangu za kiume ziko oky katika hospitali kubwa tu hapa Dar na ni ya praivet, leo ndio nimeenda...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Habarini za usiku huu wana MMU! Sina mengi saana ila tu ni ujio tu wangu humu ndani, maana jogoo la shamba haliwiki mjini, xo nkishazoea ntawika, usiku mwema wapendwa.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Nawasilisha kilio changu jamani haiwezekani demu nimtongoze ananikubalia anakuja ghetto namkojoza vya kutosha lakini mwisho wa siku ananiacha eti mi maskini Sina hela Sasa nasema hivi poa mi dume...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello wana JF, Naitwa Salehe Jafary natafuta mke mwema wa kuanza nae maisha, elimu, dini sichagui ili mradi awe mwenyeji au anapenda kuishi Mwanza, Simiyu. Umri miaka 19 hadi 25. Aliyetayari...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habarini wakuu? mimi ni kijana wa kiume kuna msichana yupo hapa mtaani ni mzuri kiasi nishawahi kumtokea au kumtongoza akaniambia ana mtu basi urafiki wa kawaida ukaendelea lakini cha kushangaza...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
tunazungumza kuhusu mapenzi, Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…