Hii ni filamu ambayo imechezwa
The Pursuit of Happyness - Wikipedia
You are being redirected... 720p 750MB
You are being redirected... 1080p 1.5GB
The Pursuit of Happyness - Wikipedia
Habarini wana MMU
Siwezi kuiita shida ila naona nakosa confidence kwenye ndoa yangu maana sina usemi.
Nilikulia familia ya kishua sana (kitoto mayai) mpaka pale nilipokuja kuoa. huyu mke wangu...
Ukimuahidi mtu kumuoa, oaa.. Ukimuahidi kumjengea nyumba jengaa... Ukimuahidi kumnunulia gari nunuaa.. Usipofanya siku atageuka kuwa adui yako mkubwa sanaaa...
Haya yalimkuta bashite
SWALI: Kuna uwezekano wa kuwa na mpenzi ambaye anaishi lets say Morogoro halafu wewe upo Mbeya? Na je kama uwezekano upo kuna uwezekano wa kudumu?
Nauliza haya kwani maisha ya sasa ni balaa full...
Hivi mshawahi jiuliza hiki kitu?
kwanini inakuwa hivi?
kwanini mwanamke akuvumilie kipindi huna kazi unalala chini ,lakini akasimama na ww mpaka siku utapokuja kupata.
Ila kwanini Siku Ukaja...
Sauti Sol wanasema " Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu weee. Mungu akileta mtoto analeta sahani yake"
Sijui kama ni kweli kila mtoto anakuja na 'sahani' lakini naomba tudiscuss usahihi wa...
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu,
Kwa kifupi ni kwamba kulikuwa na dada mmoja ambaye tulisoma naye chuo miaka ya 2009-2012 kwa kipindi hicho tulikuwa na mahusiano but baada ya kumaliza...
Mahusiano yangu na mpenz Wang yalikua yanaenda vzr......alikua akinisikiliza..nitakapo muhitaji lazma aje. Yaani alikua anathamini sana kauli yangu....sikufikiri kama ananichit..........
Juzi...
Holla Amigos..
I feel horny....
And I've just fall in love with faces..... (yeah I like good things including cute faces...:p:p:p)
It happens once I met a man and he was wearing a chain on his...
Zamani kidogo mia 1993 kurudi nyuma mabibi harusi walikuwa wakilia kwenye harusi matron walikua na kazi za kuwafuta machozi hadi leso tatu au nne. Sasa hivi mabibi harusi, wanaimba, wanacheka...
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Mimi ni msichana ni mwalimu niko Shyinyanga natafuta mchuba umri miak32_38 awe mkristo, am serious sipendi dharau wala kebehi, Mungu awabariki, mwenye nia ani PM.
Jamani why mapenzi yanatu drive crazy?Kuna mkaka aliwahi kuonyesha interest kwangu bt Never mentioned "I LOVE U"bt alionyesha kunijali like kuniletea zawad ya vitu navyopenda tena nyumbani afu...
Hivi wadau,
Kuna mchumba wangu aliniambia kuwa ana mwanaume mwingine hivyo niachane naye sasa Leo anakuja kuniambia kuwa ananitania.
Je, kuna utani wa hivi kweli jamani?
Kuna binti huwa naonana nae katika shughuli zangu...ni mzuri kiukweli na Kila tukionana binti huwa anakuwa na furaha sana,,kutokana kutokana anavyorespond kwangu imenifanya kuvutiwa nae,na...
Jamani dalili hizi zikianza kuonekana kwa mpenzi wako zinaashiria nini?
1. Kutopokea simu zako
2. Kutojibu sms zako ingawa anazisoma daily
3. Mkikutana hasemi chochotee yuko kimya tu au ndo...
Habari zenu J.F members. Naomba nichukue fulsa hii kuwakumbusheni kupitia maneno haya machache tuu.
Nimara chache sana kwetu sisi waafrika kukubaliana na kujivunia nyumbani kwetu
Sio kwaupande...
Juzi kati nilisafiri kwenda harusi flani ambayo mshkaji alikuwa best man, kikweli wenye harusi sikuwa nawajua nilienda tu kwasababu nilialikwa na pia nilikuwa na mashamba nataka kuyacheki huko...