Kuna uwezekano wa wapenzi kuwa mbali?

Jan 8, 2016
66
35
SWALI: Kuna uwezekano wa kuwa na mpenzi ambaye anaishi lets say Morogoro halafu wewe upo Mbeya? Na je kama uwezekano upo kuna uwezekano wa kudumu?

Nauliza haya kwani maisha ya sasa ni balaa full mausalitiano hata kama upo nae karibu
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka

BUT kama mna wasiliana kwa karibu, na at least ndani ya muda flan mna kutana na kufanya yenu vizuri, mna weza sukuma sukuma sikuz, wahenga walisema simu ni nusu ya kuonana (wahenga Modern hao), so mkitumia vzuri, likely mta weza, ila kwa kweli uzoefu una onesha ni mahusiano ambayo huwa haya dumu
 
Asilimia 50 wanadumu inayobakia hapana.Ila kikubwa mawasiliano na pia wivu wa kizembe zembe ucwepo..Mtu akiamua kuwa na mahusiano ya mbali inawezekana as long as u trust each other
 
Nadhan tuzipunguze lets say asilia 30 au 40,ndio wana dumu.
Iceman kuna watu wanadumu ktk mahusiano ya mbali kwa muda mrefu sana.Mkishakuwa na uaminifu baina yenu wawili nothing is impossible ila sasa tamaa inaponza wengi ama pengine tuseme hakuna upendo wa kweli
 
Iceman kuna watu wanadumu ktk mahusiano ya mbali kwa muda mrefu sana.Mkishakuwa na uaminifu baina yenu wawili nothing is impossible ila sasa tamaa inaponza wengi ama pengine tuseme hakuna upendo wa kweli
Yes upo sawa,
pia naturaly utofauti wa mazingira, baadaye huleta utofauti wa fikra na mwisho kabisa utofauti wa hisia.
Nadhan original puprose ya mahusino haikuwa wanao husiana kuwa mbali, kwa hiyo baadaye upendo huwa unashuka na mkisha choka ku upigania tu, ndio relation inakufa.
 
Back
Top Bottom