watoto wa kike wanajali sana mdogo wangu..Na siku zote za maisha yako omba bahati ya kupendwa na hawa watoto wa kike ,utaona Raha ya maisha.Msimamo wako brother ni upi?
Nyoka babu huwa unaongea point mnoo... Hongeramwanamke kimaumbile ndio mlezi wa mwanaume ,wanatulea sana na bila malezi yao kwetu sisi bado ni mtihaani
Shukran mkuu mbona mimi naona kawaida au kwa vile nimeyazoea haya mamboNyoka babu huwa unaongea point mnoo... Hongera
We ni bikira?Ngoja niwe mwanafunzi hapa maama huwa naskia tu habar ya mahusiano
Hapana ila nina asili hiyoMkuu samahani.
Wewe ni mwarabu?
Habari wakuu
Hibi kati ya mwanamke na mwanaume yupi humjali mwenzie sana katika mahusiano?.
Kwamgu mm naona ni mwanamke ndio humjali zaidi mwanaume na kumthamini maana nimeshudia couples nyingi Shuleni na vyuoni nikaona wanawake ndio hujali sana wanaume.
Si unajua maisha ya shule na vyuoni sometime yalivyo complicated unakuta mwanamke anampa pesa, chakula, mavazi n.k mwanaume.
Je wewe unaonaje kwa hilo?
hahahaha kwanini mkuuNdio maana wajua kuyachambua hayo mavitu.
Usijal mdogo wangu .Nyie watu mko vizuri kwenye mambo hayo.
Heshima yako boss maana una maneno kuntu sana napenda uwe unamwaga data tu muda wote
Inaoneonyesha ni jinsi gani umekomaa katika hii sector... Au umetoka mapenzi yalipozaliwa mkuu.Shukran mkuu mbona mimi naona kawaida au kwa vile nimeyazoea haya mambo