Usiache mpenzi nyuma... Utaumia!!!

sanchez255

Senior Member
Jun 9, 2015
171
312
Ukimuahidi mtu kumuoa, oaa.. Ukimuahidi kumjengea nyumba jengaa... Ukimuahidi kumnunulia gari nunuaa.. Usipofanya siku atageuka kuwa adui yako mkubwa sanaaa...

Haya yalimkuta bashite
 
Nikukumbatie grace watu wajue nazaa mimi nazaa, mwanaume asiyezaa wa nini bwana
 
Unaweza mtimizia kila kitu na bado akawa adui kwako..

Haya mambo huwa hayana fomula kubwa omba mungu..

Yanayokuja mbeleni hakuna anayejua
 
Back
Top Bottom