Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 573
- 578
Juzi kati nilisafiri kwenda harusi flani ambayo mshkaji alikuwa best man, kikweli wenye harusi sikuwa nawajua nilienda tu kwasababu nilialikwa na pia nilikuwa na mashamba nataka kuyacheki huko mkoani.
Harusi ilifana sana kesho yake rafiki yangu ambaye alikuwa best man akanisindikiza tukaenda kuangalia mashamba huko kijijini mara kwa mara huwa nakodisha mashamba mikoani, jamaa yeye na simu siku nzima hadi ikabidi nimuuulize kimatani ndugu mlimbwende gani huyo kakuteka hivyo, akaanza kucheka, kunionesha picha ni yule mwanamke alielowa yani bibi harusi wa jana.
Jamaa anasema yeye anashangaaa toka wameanza mishe mishe za harusi mwanamke kamganda message kila dakika mara kumcheki kwa sana, sasa nashanga kweli kweli dada zetu sasa kwanini unaolewa kama bado unatamani maisha ya usingle lady, maana jamaa kachat na mwanamke mpaka saa sita usiku tuko bar bado wanachat, mke wa mtu huyo ingekuwa mimi mahari narudisha mke siku ya kwanza honeymoon unachat siku nzima? Halafu hii tabia iko kwa wanawake wengi, wewe umeshaolewa tayari tushakula pilau, usiku wakina Juma na Johny wa nini?