Nini kinafanya mahusiano yadumu?

kuna jiran hapa wamekutana baba msukuma na mama mzaramo sasa ikifika saa 2 usiku utasema sio mtu na mkewe wanavyobishana... mpaka saa 5 usiku nyie laleni wao kazi moja!
 
Kinachofanya mahusiano yadumu cha kwanza uhai aliokupa mungu bila huo akuna mahusiano

Ni kweli
Ila kwenye maisha yetu sisis kama vijana , kuwa wakati unaona mtu anavunja mausiano na mtu fulani, anaenda kuanzisha na mwingine.
Nilitaka kujua nini chanzo ( Strong man lazima apate weak woman ili mausiano yadumu , Hivyo hivyo kwa wanawake lazima apate weak man ili mausiano yadumu )
 
Ili mahusiano ya dumu lazima mmoja awe anajishusha(weak) unless kila sku ndan patakuwa panawaka moto.
 
Back
Top Bottom