Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,525
Hivi mshawahi jiuliza hiki kitu?
kwanini inakuwa hivi?
kwanini mwanamke akuvumilie kipindi huna kazi unalala chini ,lakini akasimama na ww mpaka siku utapokuja kupata.
Ila kwanini Siku Ukaja ukafilisika na akajua fika huwezi kutoboa ,yaan ndo umefika omega
mwanamke yule yule akakumbia ?
Mshawahi jiuliza hili?
na kama mmejiuliza je mlipata majibu gani?
Karibuni tujadiliane..
Rai yangu katika hili simaanishi wanawake wote wako hivi ,hapana Msininukuu vibaya ,ila wapo baadhi au asilimia kubwa ni wako hivi..