SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 910
- 742
Kuna binti huwa naonana nae katika shughuli zangu...ni mzuri kiukweli na Kila tukionana binti huwa anakuwa na furaha sana,,kutokana kutokana anavyorespond kwangu imenifanya kuvutiwa nae,na nimepanga kumfungukia kumwambie jinsi nampenda...ila tatzo kitu nimegundua kuna mshikaji ashaniwai tyar..
Sasa juzi kati nilimtext kwamba (KUNA JAMBO NATAKA NIKWAMBIE)..Sasa binti ananipigia na kunitext kila mara anataka nimwambie..
SWALI..ivi nikimwambia kuwa nampenda atanichukuliaje..?.maana nahisi ananitega tu ili anichoreshe..
WADAU NISAIDIE...Nifunguke au nimezee tu