janjab
Senior Member
- May 28, 2015
- 172
- 56
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu,
Kwa kifupi ni kwamba kulikuwa na dada mmoja ambaye tulisoma naye chuo miaka ya 2009-2012 kwa kipindi hicho tulikuwa na mahusiano but baada ya kumaliza tulipotezana sasa hivi majuzi aka ni add fb na kuanza kuchat na mimi na akanambia yupo Tabora tuliongea mengi ndipo alipoanza kuingiza mambo ya mapenzi kwamba tuonane cha kwanza nilimuuliza kama hajaolewa au la akadai hajaolewa na hana mtoto.
Yeye yupo Mwanza mm kwa sasa nipo Kigoma siku moja alinipigia simu kuwa yupo njiani anakuja sikuweza hata kumzuia alifika na nikampokea nakumbuka alikaa kwangu siku 2 na aliondoka so kwa kuwa alinambia yupo pekee mimi nilikuwa nampigia simu kila mara hadi usiku la haula kumbe ni mwongo anaye mume sema mume ni mtu wa kutokatoka.
Siku moja mchana nikapiga simu nilishangaa anaongea kiuoga mie nikakata kidogo nikapigiwa simu na jamaa na akanambia niachane na wife ake nilimfafanulia kila kitu na kuanzia siku hiyo nilimlaani yule mwanamke na nilikata mawasiliano tatizo mme wake ananidodosa eti nimesex na mke wake au la kimsingi nimemjibu sikafanya naye chochote na nikamwambia mke wake hakufika kwangu ila ki ukweli nilifanya naye kwa kuwa sikujua sasa jamaa ananambia eti kama nimefanya na mke wake litakalonipata nisimlaumu amekuwa akinitumia meseji kila siku na anadai toka siku nilivyopiga simu na akanibaini mkewe amekuwa hamuongeleshi jamaa ameninyima amani sio siri.