Dalili kama hizi zinaashiria nini kwa girlfriend wako?

Vw Jr

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
377
338
Jamani dalili hizi zikianza kuonekana kwa mpenzi wako zinaashiria nini?

1. Kutopokea simu zako
2. Kutojibu sms zako ingawa anazisoma daily
3. Mkikutana hasemi chochotee yuko kimya tu au ndo usaliti huo?
 
Hp ndio wanawake wanapokwama hawawezi kabisa kujizuia lazma utaona tu jeurijeuri kibri majibu ya mkato kununa kusudi kutaka abembelezwe haogopi kuachana nakadhalika ila mwanaume anaweza akawa na vdem hata vi4 ila kwa mpenzi wke ampendae mapenzi tele na asiweze kushtuka km jamaa anapigapiga nje yaani tunajua kutofautisha kati ya mapenzi na ngono naweza kutana na toto la uswahilini likanipa chezo chezo kweli then nkarudi kwa mpenzi wng ambae ni mgeni kabisa kwenye mapenzi ila nkampenda na kumheshim!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom