Kwa Waafrika; Rangi nyeusi ni dili

Mar 14, 2017
9
8
Habari zenu J.F members. Naomba nichukue fulsa hii kuwakumbusheni kupitia maneno haya machache tuu.

Nimara chache sana kwetu sisi waafrika kukubaliana na kujivunia nyumbani kwetu
Sio kwaupande wa nyumbani tuu. Pengine ni nchi zetu mitaa tutokayo au vijiji. Lakini kumbuka asiyekubari kwao nimtumwa

Utakua mtumwa hadi lini ni wakati wakukataa utumwa sasa kwani mambo mengi mazuri yapo hapa hapa kwetu.

Namba mjoja ninaipenda Afrika
Nawapenda Waafrika
Mimi ndio Afrika
Nawewe ndio Afrika

Rangi yangu nyeusi deal
Haipatikani dukani
Haijawahi kutokea Mtu
Mweupe kubadilika kuwa
Mweusi japo wanaipenda sana

Naipenda Afrika
Nawapenda waafrika.
 
Ndo uwaambie Wenzako waachane na mkorogo!
images-2.jpg
images-3.jpg
peala-cus.jpg
Before-and-after-photos-of-Kenya-socialite-Vera-Sidika-760-x-420.jpg
vllkyt4nl3j4fi8kb.bb1706c6.jpg
wpid-screenshot_2014-09-30-23-12-182.jpg.jpeg
7ab143df69060604b87d21282fce3282.jpg

Ntajitahidi mkuu!
 
Kwanza kabisa unatakiwa uanze na wale wanakuja kule love connect kutafuta wapenzi alafu wanaweka kigezo cha rangi nyeupe.
 
hamna... ila tuseme ukweli kuna wadada wengine weupe unawapendeza..!
au unasemaje Paprika !
Inferiority complex!!!!
Unajiona huwezi kua mzuri mpaka uwe mweupe!!!
Hawana tofauti na wanaofanya plastic surgery kuongeza hips, matako, maziwa nk.
Ni ugonjwa wa akili na utumwa pia.
 
Inferiority complex!!!!
Unajiona huwezi kua mzuri mpaka uwe mweupe!!!
Hawana tofauti na wanaofanya plastic surgery kuongeza hips, matako, maziwa nk.
Ni ugonjwa wa akili na utumwa pia.
unataka kusema ww lotion hutumii...!!!
 
Paprika wewe ni mtata... ila kwa maisha ya asaivi unaweza kujikuta mweupe bila kupenda... tena hasa kwa nyie wadada... makorokoro yenu mnajua wenyewe!!!
Ndo hivyooo!!! Wanaoparamia vitu vya kujipaka mwilini na sabuni ndo yanawakuta...

Mimi naogea empirial au dettol, nikikosa naogea sabuni ya kipande ya kawaida...
Mafuta nacheza na Nivea, Vaseline (lotion na mgando)... Nikikosa natumia baby oils au olive oil.
Yaani kitu nisichojua ingedients zake wala situmii. Ni bora nisipake chochote!!! I loove my skin tone yaani!!! Nisingependa kubadilika.
 
Sura mpya miguu ya zaman, I really love my chocolate colour and I fall in love with myself....
 
Back
Top Bottom