GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,089
- 2,198
Zamani kidogo mia 1993 kurudi nyuma mabibi harusi walikuwa wakilia kwenye harusi matron walikua na kazi za kuwafuta machozi hadi leso tatu au nne. Sasa hivi mabibi harusi, wanaimba, wanacheka wanacheza kwaito hadi viduku. Nahoji tu, kilichokua kinawaliza wazamani nini na kinachowafurahi sha wa siku hizi ni nini?
Nawaza kwa maandishi maoni yako.
Nawaza kwa maandishi maoni yako.