Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF, Kwanza nifurahi kwamba nipo miongoni mwenu na haswa katika kuwasilisha suala ambalo kila mmoja wetu linamgusa kwa namna moja au nyingine. Mimi ni mdau wa MMU, napenda yale yote...
13 Reactions
192 Replies
23K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, ninatafuta msichana kuanzia miaka 20-25, ili awe mchumba na Mungu akipenda tuje kujenga familia huko mbeleni. Wasifu wangu; Mimi ni mfanyabiashara...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wasalaam wana jukwaa, kuna hii story nimeikuta mahali nataka kushea nanyi..... Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na...
17 Reactions
185 Replies
12K Views
Ni mtoto wa kishua, tupo nae kitaa, tofauti yetu ni kwamba yeye yupo mjengoni na mimi nipo bandani. Kila kukikucha tulikuwa tukisalimiana asubuhi mwisho wa siku nikajiongeza nikatupa ndoano...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa !! Kuna baadhi ya wanawake huwa wanapenda kutambulishwa kwa marafiki,ndugu au hata wazazi wa mpenzi wake. Je hii ni kwa sababu anakuwa amempenda kweli huyo mwanaume au hupenda...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
ukienda macho juu juu aurudi, wenyewe wanakwambia tanga raha.
13 Reactions
222 Replies
46K Views
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo 1. Awe na ngozi yake original ambayo haijachubuliwa wala kuongezwa chemical yoyote 2. Awe na nywele zake halisi 24hrs 3. Awe na nyuso kope na rangi ya macho yake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau natafuta Mwalimu aliemamaliza mwaka Jana awe make please, inbox me, awe mzuri na awe anaishi dar
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini Lile SOMO maridhawa bado linaendelea ila leo limekuja kwa njia tofauti kabisa Sijui nianze kwa gia gani ya kutoa somo hili maana inakereka na inatia aibu sana Kijana mtu mzima na ndevu...
8 Reactions
111 Replies
11K Views
Nilipata binti mmoja, nikaanza mahusiano nae kimapenzi, baada ya miezi miwili akasema kapoteza simu, nikampa nyingine, siku tatu zilizofuata nikapigiwa na mwanaume kwa namba ileile aliyosema...
7 Reactions
274 Replies
22K Views
Wakristo wengi hatufungi ndoa sababu ya kudai gharama za sherehe Leo na waambia maandalizi ya mwili ni ya kibinadamu ila ya moyo ndio ya Mungu sasa usifikirie kuwa uzuri wa sherehe ni kutumia pesa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
1 Nina miaka 31 2 Mjasiria mali 3 Mwanamke awe na umri wa kuanzia 21hadi 27 4 Mkristo 5 Mwenye maadili ya kiafrika kwa ufupi awe na tabia njema 6 Asiwe na mtoto 7 Asiwe mtumiaji wa mikorogo yani...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Waungwana hakika haijafika hata siku mbili Pale nilipo muelezea hisia zangu kuwa nafsi, moyo na macho zimemuona yeye na nimetokea kumpenda sana cha ajabu hakuwa mgumu wala japo kidogo mwenye...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
1.Usiku mmoja unatosha na sio zaidi. Usifanye mapenzi zaidi ya mara 1 na huyo mwanamke. 2.Usizame penzini sana kwa mwanamke yeyote. 3.Ukimalizana nae futa na poteza kabisa mawasiliano nae...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari zenu wadau Naandika kwa kifupi sana ila naomba kupata mawazo yenu. Assume unaishi na mke katika zama hizi za maisha kua ghali lakini kuna jambo linakukwaza kwamba mkeo hawezi kupanga bajeti...
7 Reactions
151 Replies
13K Views
Hii ni filamu ambayo imechezwa The Pursuit of Happyness - Wikipedia You are being redirected... 720p 750MB You are being redirected... 1080p 1.5GB The Pursuit of Happyness - Wikipedia
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Habarini wana MMU Siwezi kuiita shida ila naona nakosa confidence kwenye ndoa yangu maana sina usemi. Nilikulia familia ya kishua sana (kitoto mayai) mpaka pale nilipokuja kuoa. huyu mke wangu...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ukimuahidi mtu kumuoa, oaa.. Ukimuahidi kumjengea nyumba jengaa... Ukimuahidi kumnunulia gari nunuaa.. Usipofanya siku atageuka kuwa adui yako mkubwa sanaaa... Haya yalimkuta bashite
0 Reactions
6 Replies
1K Views
SWALI: Kuna uwezekano wa kuwa na mpenzi ambaye anaishi lets say Morogoro halafu wewe upo Mbeya? Na je kama uwezekano upo kuna uwezekano wa kudumu? Nauliza haya kwani maisha ya sasa ni balaa full...
2 Reactions
81 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…