Abbassalum
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 338
- 176
Mshukuru Allah alikuepusha na usolijua mkuuNilienda Tanga safari ya kikazi ya siku moja, nilikutana na balaa la msako wa polisi. Haki ya nani sikufaudu kitu. ***** polishi!!
Uko vizurii
Karibu TangaAseeeh.
Tack sa mycket.Karibu Tanga
HeheheUko vizurii
PoleNilienda Tanga safari ya kikazi ya siku moja, nilikutana na balaa la msako wa polisi. Haki ya nani sikufaudu kitu. ***** polishi!!