Mambo ya muhimu kwa ma-playboy

simplehamis

Member
Feb 20, 2017
28
27
1.Usiku mmoja unatosha na sio zaidi.
Usifanye mapenzi zaidi ya mara 1 na huyo mwanamke.

2.Usizame penzini sana kwa mwanamke yeyote.

3.Ukimalizana nae futa na poteza kabisa mawasiliano nae.

4.Usimpeleke nyumbani kwako.
Wengi imewaletea matatizo hii, ukiwa kama playboy basi lodge au nyumbani kwa rafiki zako ndipo pahusike sana.
 
Jins unavyowagegeda ndio jins wanavyozid kukupapatikia...
Nadhan wanatumia kigezo cha uzoefu...
Kama unataka kuwa player wa kudumu kula wengi kadri unavyoweza...
Lkn kumbka uzinz ni dhamb na ukimw upo japo kuwa siku hz hauui
 
[HASHTAG]#playboy[/HASHTAG] wa kweli hatii mimbaa maana hatotaka kuwaspoil warembo wa kweli ka battery za nokia torch znavyoumuka
 
Back
Top Bottom