Mwanamke kupenda kutambulishwa

Jimmy George

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,733
1,648
Habari wana jukwaa !!

Kuna baadhi ya wanawake huwa wanapenda kutambulishwa kwa marafiki,ndugu au hata wazazi wa mpenzi wake. Je hii ni kwa sababu anakuwa amempenda kweli huyo mwanaume au hupenda tu ijulikane yupo na huyo mtu? Nisaidieni mnaoelewa nipate kujua.
 
Tunapenda tujulikane!!!

Pia upendo wa dhati unachangaia

Hapo upendo wa dhati tu..Ili wajue Kama ndugu yao au mtoto wao anapendwa

Oooho kumbe nimeelewa sasa ndiyo maana kuna wengine wanasema Nimekubali ila wasijue watu hataki umuweke profile whatsapp wala hataki umpost kwenye social networks
Tunapenda tujulikane!!!

Oooho kumbe nimeelewa sasa ndiyo maana kuna wengine wanasema Nimekubali ila wasijue watu hataki umuweke profile whatsapp wala hataki umpost
Pia upendo wa dhati unachangaia

Oooho kumbe nimeelewa sasa ndiyo maana kuna wengine wanasema Nimekubali ila wasijue watu hataki umuweke profile whatsapp wala hataki umpost
Hapo upendo wa dhati tu..Ili wajue Kama ndugu yao au mtoto wao anapendwa

Oooho kumbe nimeelewa sasa ndiyo maana kuna wengine wanasema Nimekubali ila wasijue watu hataki umuweke profile whatsapp wala hataki umpost
 
1. Kujulikana

2. Kutambulika

3.Kufahamika

4.Kudumisha urafiki na mahusiano.

5. Kujiwekea heshima yeye binafsi na kukuwekea heshima wewe pia.
 
Back
Top Bottom