mansuly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 247
- 144
Ni binti fulani ambaye nilitokea kumpenda mbaya, ila alikuwa akinifanyia kiburi,Sababu alijua nampenda Sana, Dah kipindi flani nilikuwa nikimtumia sms hanijibu lakini nikiingia whatsapp namkuta yupo "online " niliumia Sana siku hiyo.Bac hapo nikaamua kumpotezea ila cha ajabu ameanza kuniletea shobo tena kuanza kunipigia simu na kunitumia sms lakini siku respond kwake ,
Je mtu Kama Huyu nimfanyeje wajameni.
Je mtu Kama Huyu nimfanyeje wajameni.