Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Baada kupitapita sehemu nikakutana na mada hii ya kauli ya mdada aliyekupenda na asiyekupenda......
MDADA ANAYEKUPENDA KAULI ZAKE. ZIPO HIVII.
1.bby tafadhali usiwe na mawazo vumilia matatizo ni sehemu ya maisha.
2.mpenzi wangu mi nataka soda au maji tuu hapo mmetoka out waiter ameuliza niwahudumie nini
3.bby kama umekosa hiyo hela usiwaze sana mi ntajua nifanye nini hapo kakupiga kizinga kagundua huna kituu.
MWANAMKE AMBAE HAJAKUPENDA .....
1.HIVI wee mwanaume mbona mbahili kiasi hiki unashidwa kunitumia hata elfu 10.
2.mbona hujanitumia na hela ya kuutolea hapo baada ya kuona meseji ya tigo pesa baada kuomba kumtumia pesa badala ya kujibu asante.
3.unamtumia vocha au unamuunga hakupigii wala hakujibu kitu mpaka umpigie umuulize umeshaipata hiyo vocha au hela.
Haya endelenii na nynyi kuchangiaa kwa kuongezea kauli