The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Ni matumaini yangu mu wazima wana JF!
Sisi ni wanamme, na kila mmoja anatambua uanamme wake mwenyewe bila shaka,kinachosikitisha ni pale mwanamme anapojitoa ufahamu kutaka kuthibitisha uanamme wa mwanamme mwenzie.
Nadhani bado sijaeleweka lakini ni kwamba kumekuwa na tatizo kwa wanaJF humuhumu tunaojiita Great Thinkers tunashindwa kutambua matumizi sahihi ya maneno na tunaishia kutoa mipasho tena kwa wanamme wenzetu bila kujali madhara yake.Mfano, humu JF kuna mtu ali-conclude kwamba mtu anayetumia neno "Hi, mambo " n.k kwa mwanamme mwenzake ni shoga! Hii inaonesha huyu mtu hafahamu hata maana ya neno "Hi" .Binafsi nafahamu hili neno ktk tafsiri yake haioneshi kama linafaa kutumika kwa wanawake tu na si kwa mwanamme mwenzio(Refference:Wikipedia, Dictionery ).
Tabia hii ya kutoa mipasho kwa wanamme wenzetu au kujaribu kuwaita mashoga, kwa mtazamo wangu si ya kiume na ni hatari.
Tafiti zangu zinaonesha ca. 90% ya wanamme waliowahi kubakwa na wanamme wenzao wamekuwa na tabia hizi na wanaishia kufumuliwa marinda ili waoneshwe uanamme.
Ushauri wangu: Usimkejeli mwanamme mwenzio kwa kumuita shoga simply kwa sababu katumia baadhi ya maneno ambayo wewe hujui maana yake halisi!