Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Habari za asubuhi wana JF !!
Mimi binafsi niligundua kuna uhusiano wa jina na mapenzi,pia nimejaribu kuuliza na kuwafuatilia baadhi ya rafiki zangu nikaona kuna ukweli fulani juu ya hili. Ingawa sijajua kanuni yake inakuwaje lakini nadhani itakuwa masuala ya numerology.
Uhusiano huu wa jina ni kuwa inatokea kama wewe ni mwanaume kuna wenye majina fulani ya kike huwa lazima atakuwa anakupenda, au ukiwa mwanamke kuna wenye majina fulani ya kiume huwa wanatokea kukupenda.
1. Mfano kwa rafiki yangu mmoja nilipochunguza na aliponipa maelezo ikaonekana kila alipokutana na akina Asnath,Martha,Monica wote walionekana kuvutiwa nae.
2. Rafiki yangu mwingine ikaonekana kila alipokutana na akina Angel,Juliana walivutiwa nae.
3. Mimi niligundua akina Neema,Josephina,Irene,Pendo nilipokutana nao walionekana kuvutiwa nami
4. Na wengine kama watatu ikawa hivyo ingawa nimesahau majina waliyoniambia.
Sasa hebu jaribu kukumbuka kama umeshawahi kuwa na uhusiano na wanawake/wanaume wenye majina ya kufanana hata kama ni vipindi tofauti au kama umewahi kugundua kama kuna majina fulani yaliyojirudia mara kwa mara wamewahi kuonekana kuvutiwa na wewe kisha utuambie hapa.