Wakuu,
Najaribu kuwaza kwa sauti nikimpeleka mpenzi wangu ghetto, nikamvua nguo zote tukaandaana huku bastola imesimama wima, kisha nikavaa nguo na kumpa nauli asepe na ni siku ya kwanza wewe...
Habari za jioni wote,
Naona na weekend ndio kama vile inafumbua macho. Poleni na shughuli za week nzima katika kupiga na kukimbizana na pesa
Niende moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu...
Habari zenu wana JF wa jukwaa pendwa kabisa la MMU.
Nimekaa nikajiuliza sana kuhusu maamuzi mbalimbali ambayo huwa yanachukuliwa kwa sababu ya Usaliti au Fumanizi na jinsi yanavyoendana na...
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Ni kitu gani ulichowahi kuombwa na mpenzi wako umtimizie hadi kukupelekea ukose furaha na uwe mnyonge?
Mimi upande wangu mpenzi wangu aliniomba nimnunulie...
Habari wana Jf?
Mpenzi wangu anaota ndoto usiku kama kuna mtu ana muingilia kimwili nyakati za usiku
Mtu anakua hamuoni, anasema hii ni mara kama ya nne.
Ila mara ya tatu anasema alijikuta...
Habari
Mara ya kwanza kusafiri kwenda Mwanza nilikaa na mrembo mmoja kwa bahati mbaya kuanzia tunaondoka asubuhi mpaka tukafika sehemu moja inaitwa Hungumarwa, Kwimba, Mwanza tulikuwa kimya...
Niliandika hii post miezi kadhaa iliyopita lakini dhamira yangu ilinisuta kuituma, jana usiku nililala na stress kuhusu mambo haya haya, asubuhi nimeona post ya yule mdada virgin imenifariji...
Jaman hivi mkiwa wapenzi lazima umkamue mwenzako ndio maana ya mapenzi au ujue kuwa unapendwa? Wewe unajua kabisa mpnz wako anasomesha wadogo zake, anawapa wazazi chochote, analipa chumba, ana...
wana jamvi, hii nimeistukia leo baada ya kusikiliza kwa makini hoja za wife, wakati tukiongelea hili na lile. katika maongezi yake kuna baadhi ya comment alizokuwa anazishabikia au kuzidadavua...
Hivi ni kipimo gani au ni kitu gani huwa unakifanya kumpima mpenzi wako kutambua kama anakupenda kweli au au anakuzingua.
Mimi upande wangu huwa nina vipimo vya aina tatu.
1.Cha kwanza...
KWA MABINTI
Mabinti wengi wanapokuwa kwenye uhusiano na mwanaume wanayempenda, na mwanaume huyo kumuhakikishia Kumuoa. Inapotokea mwanaume huyo kutaka Ngono (sex), uwezakano wa mabinti kukataa ni...
Jumapili nilikuwa bored sana nyumbani nikatamani kutoka out nikamtafuta shosti wangu hivi kwa vile ni mnywaji nikamuambia twende nikakununulie kinywaji kimoja tupunge na upepo huko nje akasema...
Aliniambia mpenzi aliyenitoa bikra. Ni baada ya kunipeleka kwao ila baadae nikaanza kuhisi ni mchawi. Aliniambia hivyo makusudi ili niumie maana alijua nitamuacha. Kama ni wewe ungejisikiaje...
Habari zenu,
Huwa najiuliza katika maisha yangu, mahusiano yangu yanakuwaga magumu sana pindi pale ninapopata mwanaume wa kuwa naye, yani sina bahati kabisa wa kupata mwanaume mwenye uwezo...
Wakuu habari..Jana nilipigwa na bumbuwazi baada ya kushuhudia msichana niliyekuwa nategemea awe mke wangu akinisaliti..ilikua hv
Me nipo chuo hapa dar na ninakaa geto.Huyo dem wang anasoma mkoani...
Mimi Ayub Muyo, nahitaji mchumba mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 31, atakayejali familia ile nini, ivaaje kwa kushirikiana na mimi. Na tutawajali ndugu wa pande zote, Mimi naabudu BWANA MUNGU...
SIYO KILA MWENDAWAZIMU NI MWENDAWAZIMU !!
Palikua na mfalme na mwendawazimu ambao walikutana makaburini.
Mfalme: imekuaje wewe unaishi makaburi siku zote?! Na hutaki kuondoka mahala hapa? Je...
Nipo kwenye mahusiano kwa muda mrefu, kiasi kwamba tunafahamiana vizuri, mimi na mpenzi wangu, nipo likizo nimekuja kumtembelea mpenzi wangu cha kushangaza amekuwa akiondoka usiku eti anaenda...